Maswali na jasho: Mfahamu Odhiambo Joseph
Maswali na jasho: Mfahamu Odhiambo Joseph
Kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 60 ya BBC Swahili, baadhi ya watangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC walijibu maswali kuwahusu na pia kutoa jasho.
Leo ni zamu ya Odhiambo Joseph, mhariri anayesimamia kipindi cha redio cha Dira ya Dunia.
Atajibu maswali mangapi katika sekunde 60?