Maswali na jasho: Mfahamu zaidi Salim Kikeke

Maswali na jasho: Mfahamu zaidi Salim Kikeke

Kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 60 ya BBC Swahili, baadhi ya watangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC walijibu maswali kuwahusu na pia kutoa jasho.

Leo ni zamu ya Salim Kikeke, mtangazaji kinara katika Dira ya Dunia TV.

Atajibu maswali mangapi katika sekunde 60?