Ally Saleh: Mambo yalikuwa tofauti zamani BBC

Ally Saleh: Mambo yalikuwa tofauti zamani BBC

Mambo yamebadilika vipi katika tasnia ya uandishi wa habari na BBC kwenyewe?

Mwandishi wa sasa wa BBC Sammy Awami amekutana na mwandishi mkongwe aliyewahi kufanya kazi BBC Swahili, Ali Saleh na kuzungumza naye.