Habari za Global Newsbeat 1500 27/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 27/06/2017

Leo ndio siku rasmi ya maadhimisho ya miaka 60 tangu Idhaa ya Kiswahili ya BBC ilipoanzishwa. Maadhimisho haya yameanza leo rasmi jijini Dar-es-Salaam huku kukiwa na makala maalum kwa wiki nzima zinazogusia safari hii ndefu tangu tarehe 27 mwezi Juni mwaka 1957.

Je, nini ukipendacho kwenye BBCswahili?

Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com