Wafahamu baadhi ya waandishi wa BBC Swahili

Idhaa ya Kiswahili ya BBC inasikika katika mataifa mengi na ina waandishi Burundi, Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Uganda na Afrika Kusini.

Wafahamu waandishi hao.