Maswali na Jasho: Kuifahamu zaidi Idhaa ya Kiswahili ya BBC

Maswali na Jasho: Kuifahamu zaidi Idhaa ya Kiswahili ya BBC

Unaifahamu vyema Idhaa ya Kiswahili ya BBC? Mhariri wa idhaa hii Caroline Karobia alijaribu kujibu maswali huku akitoa jasho . Atajibu maswali mangapi katika sekunde 60? Tazama .