Mwandishi aliyehamasishwa na Idhaa ya Kiswahili ya BBC
Mwandishi aliyehamasishwa na Idhaa ya Kiswahili ya BBC
Charles Kariuki ni mwandishi wa habari katika shirika lisilo la kiserikali la World Vision.
Alihamasishwa na kusikiliza Idhaa ya Kiswahili ya BBC hadi mwenyewe akawa mwandishi aliyebobea.