Habari za Global Newsbeat 1000 28/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 28/06/2017

Zaidi ya robo ya idadi ya watu kote ulimwenguni kwa hivi sasa hutumia mtandao wa Facebook kila mwezi, asubuhi hii ya leo jamii ya Facebook rasmi imefikisha wafuasi bilioni mbili.Muazilishi wa mtandao huo Mark Zuckerberg amedhibitisha hilo.

Je wewe hutumia mtandao huo mara ngapi kwa siku?

Tuwasiliane kwenye facebook bbcswahili.