Habari za Global Newsbeat 1500 28/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 28/06/2017

Chile itajaribu kuzuia mipira kutomfikia nyota wa timu ya Ureno Cristiano Ronaldo wakati mataifa hayo mawili yatakapokutana katika mchuano wa nusu fainali ya kuwania kombe la Confederation mjini Kazan.

Je, ndoto hiyo ya Chile itatimia?

Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.