Maswali na Jasho: Mfahamu David Wafula

Kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 60 ya BBC Swahili, baadhi ya watangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC walijibu maswali kuwahusu na pia kutoa jasho.

Leo ni zamu ya David Wafula, mwandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC.

Atajibu maswali mangapi katika sekunde 60?