Mpango wa maabara shuleni unakidhi malengo Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Mpango wa maabara shuleni unakidhi malengo Tanzania?

Haba na Haba inajikita katika ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za umma.

Leo tunauliza, je, mpango wa maabara katika shule za sekondari za umma unakidhi malengo ya kuanzishwa kwake?