Miaka 60 ya BBC Swahili: Twawashukuru sana wasikilizaji

Miaka 60 ya BBC Swahili: Twawashukuru sana wasikilizaji

Idhaa ya Kiswahili ya BBC inapoadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwake, watangazaji wa idhaa hii wana ujumbe kwa wasikilizaji, watazamaji na wasomaji.