Teknolojia ya habari ilivyobadilika Idhaa ya Kiswahili ya BBC

Teknolojia ya habari ilivyobadilika Idhaa ya Kiswahili ya BBC

Katika miaka 60 ambayo Idhaa ya Kiswahili ya BBC imekuwa ikipeperusha matangazo yake, kumetokea mabadiliko makubwa katika teknolojia ya habari na utangazaji.

Mwandishi wa sasa Paula Odek alikutana na mwandishi wa zamani Yussuf Hassan ambaye kwa sasa ni mbunge wa Kamukunji, Nairobi.

Walijadili teknolojia ya kale na ya sasa.