Fred Obachi Machoka: Muziki wa 'vijana' wazee
Huwezi kusikiliza tena

Mtizamo wa mtangazaji mkongwe kuhusu muziki wa kale na wa kizazi kipya

Muziki asili wa bara Afrika hususan Afrika mashariki umeimarika tangu miaka ya 60 ambapo wasanii kama vile Daudi Kabaka na Mbaraka Mwinshehe walikuwa wakitawala maredio na maeneo ya burudani.

Lakini je, mbona muziki wa wasanii hao unazidi kutia fora hata kuliko muziki wa kizazi kipya?

Anthony Irungu amezungumza na mtangazaji wa redio na runinga Fred Obachi Machoka.