Habari za Global Newsbeat 1500 03/07/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 03/07/2017

Kwenye Global Newsbeat...

Utafiti umebaini kwamba asilimia 20 ya samaki wa kiume kwenye maji yasiyokuwa na chumvi wanabadilika na kuwa na hulka za kike.

Miongoni mwa kemikali hizo ni zile zinzopatikana kwenye dawa za kupanga uzazi zinazosababisha mabadiliko hayo.