Kasichana: 'Malkia' anayevuma kwa mashairi ya kisasa Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Kasichana: 'Malkia' anayevuma kwa mashairi ya kisasa Kenya

Lugha ya Kiswahili katika siku za hivi karibuni imekuwa ikitumika katika ngazi ya juu ya kibiashara hasa nchini Kenya ambako nembo na misemo ya Kiswahili imekuwa ikitumiwa zaidi kunadi bidhaa na huduma mbali mbali kama vile- P-pesa, M-kopa, ubunifu space na .kadhalika.

Wengine nao huchanganya lugha za kiingereza na Kiswahili bora ujumbe wanaotaka umewafikia walengwa. Vijana kwa upande wao hawakuachwa nyuma - siku hizi wamekuwa wakiitumia zaidi lugha ya mchanganyo wa kiingereza na Kiswahili kupitisha ujumbe kwa hasa vjana wenzao wakitumia a utunzi unaoitwa 'Spoken word'.

Mwandishi wa BBC Jamhuri Mwavyombo amezungumza na msanii chipukizi Elizabeth Kasichana kwa jina la usaanii Queen

Mada zinazohusiana