Wanafunzi shule za umma Tanzania wanaweza kufaulu mtihani?
Huwezi kusikiliza tena

Wanafunzi shule za umma Tanzania wanaweza kufaulu mtihani?

Kulingana na Baraza la mitihani nchini Tanzania, NECTA matokeo ya kidato cha nne 2016, jumla ya wanafunzi 408,372 walifanya mtihani huo na wanafunzi 277,283 walifaulu sawa na 70%.

Leo tunakuhoji ni kwa nini kila mwanafunzi anayesoma katika shule za umma asifaulu mtihani wake wa kidato cha nne?

Mada zinazohusiana