Kariuki wa Mureithi: Mwandishi wa zamani BBC akumbuka hali ilivyokuwa

Kariuki wa Mureithi: Mwandishi wa zamani BBC akumbuka hali ilivyokuwa

Kariuki wa Mureithi ni mwanahabari wa zamani wa BBC. Alijiunga na BBC kwanza mwaka wa 1979 na aliitumikia idhaa ya BBC Swahili katika nyadhifa tofauti tofauti.

Anasimulia jinsi tasnia ya uanahabari ilivyokuwa, enzi zake.