Habari za Global Newsbeat 1000 05/07/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 05/07/2017

Mji wa Hanoi, unakisiwa kuwa na pikipiki milioni 5, lakini manispaa ya mji huo unatazamia kupiga marufuku pikipiki hizo ifikapo mwaka 2030 ili kupunguza msongamano na uchafuzi wa mazingira.

Je marufuku hiyo itakabiliana na tatizo la mazingira?

Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com