Habari za Global Newsbeat 1500 06/07/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 06/07/2017

Manchester United wameafikiana na klabu ya Everton kulipa £75m kumchukua mshambuliaji Romelu Lukaku.

Raia huyo wa Ubelgiji wa miaka 24 alifunga mabao 26 katika Ligi ya Premia msimu uliopita.United wamekuwa wakimtafuta Lukaku kwa kipindi kirefu majira haya ya joto.

Je, atafutwa nyayo za Zlatan Ibrahimović kwa upande wa ufungaji mabao?

Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com