Wanawake wanaochora grafiti Tanzania
Wanawake wanaochora grafiti Tanzania
Ni nini ujumbe ya wanawake wasanii wa kupuliza rangi Tanzania?
Mwandishi wetu Tulanana alikutana na wakina dada wanaojiita 'Women x_press' katika maonesho yao jijini Dar es salaam.