Salamu za Trump zapuuzwa na mke wa rais Poland
Huwezi kusikiliza tena

Salamu za Donald Trump zapuuzwa na mke wa rais Poland

Donald Trump amejipata akiangaziwa tena kutokana na mtindo wake wa kuwasalimia watu baada ya mkono wake kuonekana kupuuzwa na mke wa rais wa Poland.

Agata Kornhauser-Duda aliamua kumsalimia Melania Trump kabla ya mwishowe kumsalimia kiongozi huyo wa Marekani mjini Warsaw.

Mada zinazohusiana