Saida Karoli arejea ulingo wa muziki kwa kishindo
Huwezi kusikiliza tena

Saida Karoli arejea ulingo wa muziki kwa kishindo

Baada ya kutokusikika kwa kipindi kirefu msanii wa muziki wa asili maarufu kwa jina la Saida Karoli ameamua kuamka tena baada ya kupitia misukosuko iliyopelekea kushuka kwa kiwango chake kimuziki.

Amerejea kwa kibao Orugambo, ambacho kinafanya vyema kwenye chati.

Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga amezungumza na msanii huyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Mada zinazohusiana