Miaka 50 baada ya vita vya Biafra Nigeria
Huwezi kusikiliza tena

Miaka 50 tangu vita vya kujitenga kwa Biafra kutoka kwa Nigeria

Ni miaka 50 tangu kutokea kwa Vita vya Biafra, wakazi wa Biafra walipokuwa wanapigania kutaka kujitenga kutoka kwa Nigeria.

Wakazi wa eneo hilo bado wanataka kujitenga, lakini kwa njia ya amani. Serikali imesema kuwa haiwezi kuruhusu wito wowote wa kujitenga.

Mada zinazohusiana