Mwanamke aliyempa Malkia Victoria mfarishi
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke aliyempa Malkia Victoria mfarishi

Martha Ann Erskine Ricks alizaliwa utumwani mwaka 1817 jimbo la Tennessee, Marekani. Familia yake ilijikomboa kutoka kwenye utumwa 1830 na kuhamia Liberia, Afrika Magharibi.

Alitaka sana kukutana na Malkia Victoria wa Uingereza, na alipobahatika kukutana naye, alimpa zawadi ya mfarishi.

Mada zinazohusiana