Habari za Global Newsbeat 1500 07/07/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 07/07/2017

Chelsea bado wanatarajiwa kujaribu kumsajili Romelu Lukaku, 24, licha ya taarifa kuwa mchezaji huyo amekubali kuhamia Manchester United kwa pauni milioni 75 kutoka Everton.