Habari za Global Newsbeat 1000 10/07/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 12/07/2017

Leo kwenye Global Newsbeat: Kanisa la Uingereza limepitisha sharia ya kuandaa ibada maalum kwa watu wanaobadilisha jinsia. Maoni yako ni yepi kuhusu uamuzi huo. Sikiliza na uchangie maoni yako.