Unaweza kuchangia kupunguza vifo vya wajawazito Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Unaweza kuchangia kupunguza vifo vya wajawazito Tanzania?

Takwimu za serikali ya Tanzania za mwaka 2016 zinaonyesha kuwa vifo vya mama wajawazito ni 556 kila mwaka kati ya vizazi hai 100,000.

Miongoni mwa watoto wachanga ni vifo 25 kati ya watoto 1000.

Je wewe unafanya nini kupunguza vifo hivyo?

Mada zinazohusiana