Habari za Global Newsbeat 1200 13/07/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1200 13/07/2017

Leo kwenye Global Newsbeat: Denmark inasema matatizo ya mataifa yanayostawi hususan barani Afrika ni ukosefu wa huduma za upangaji uzazi, mimba isiyopangwa na kutodhibiti idadi ya watu! Unakubaliana na kauli hiyo?