Muziki wake Mosesso ni kama dawa kwa wapita njia Nairobi
Muziki wake Mosesso ni kama dawa kwa wapita njia Nairobi
Moses Odhiambo au Mosesso ni kijana wa zamani wa kurandaranda mitaani ambaye amejifunza mwenyewe kucheza saksafoni.
Sasa yeye huwatumbuiza wakazi wa Nairobi kwa kucheza ala yake barabarani.
Muziki wake kwa wengi umekuwa kama 'dawa'