Ni kwa nini Mbilia Bel hajaolewa mpaka sasa?
Huwezi kusikiliza tena

Ni kwa nini Mbilia Bel hajaolewa mpaka sasa?

Malkia wa rhumba duniani Mbilia Bel alikonga nyoyo za mashabiki wake alipozuru Kenya wiki iliyopita, na kuwatumbuiza jijini Nairobi na Kisumu.

John Nene, anazungumza naye kuhusu mapenzi yake ya Tabu Ley, maisha yake kwenye muziki.

Je, ni kwa nini hajaolewa mpaka sasa?

Mada zinazohusiana