Habari za Global Newsbeat 1000 17/07/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 17/07/2017

Leo ni siku ya kimataifa ya ‘EMOJI’ zinazotumika kutuma ujumbe wa simu na mitandao ya kijamii. Kuna takriban emoji 2,666! Tuandikie maoni yako kuhusu siku hii kwa kutumia ‘EMOJI’ unazopenda kwenye mitandao yetu ya kijamii