Habari za Global Newsbeat 1000 18/07/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 18/07/2017

Je, unajua kwamba ‘blue tick’ ama ishara ya kusoma na kuppuza ujumbe kwenye mitandao ya mawasiliano huenda ikatumiwa kama ushahidi dhidi yako mahakamani?

Mwanamke mmoja Taiwan amefaulu kupata talaka baada ya viashiria kwenye mtandao ujulikanao kama Line kuonyesha kwamba mumewe alisoma ujumbe wake lakini akakosa kujibu.

Maoni yako ni yepi kuhusu taarifa hiyo. sema nasi kwenye facebook bbc Swahili