Mzee huyu ana watoto zaidi ya 100

Mzee huyu ana watoto zaidi ya 100

Kofi Asilenu huishi Amankrom – kijiji kidogo nchini Ghana. Ana zaidi ya watoto 100 na familia yake inajumuisha asilimia 16 ya wakazi kijiji hicho.

Wakati mmoja alishawahi kumuomba uchumba mmoja wa mabinti zake kimakosa.