Vijana watatu watetea uamuzi wao kuhusu wagombea urais Kenya

Vijana watatu watetea uamuzi wao kuhusu wagombea urais Kenya

Takwimu za Tume ya Uchaguzi Kenya zinaonesha idadi kubwa ya wapiga kura nchini humo ni vijana. Tumewaleta pamoja vijana watatu, Beatrice Waithera, Simeon Omwoyo na Martin Maina ambao mwaka huu itakuwa mara yao ya kwanza kupiga kura.

Wanafikiria nini kuhusu yanayojiri kwenye kampeni?