Tume ya uchaguzi Kenya iko tayari kwa uchaguzi?

Tume ya uchaguzi Kenya iko tayari kwa uchaguzi?

Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya (IEBC) imetuhumiwa na baadhi ya wahusika kwamba haijajiandaa vyema kwa uchaguzi mkuu nchini humo utakaofanyika Agosti 8.

Afisa Mkuu Mtendaji wa tume hiyo Ezra Chiloba amezungumza na BBC kuhusu tuhuma hizo.