Habari za Global Newsbeat 1000 24/07/2017

Habari za Global Newsbeat 1000 24/07/2017

Wataalam wa virusi vya HIV vinavyosababisha ugonjwa wa ukimwi, wameungana na wenzao wa ugonjwa wa saratani, katika maendeleo mapya ya utafiti wa saratani, ili kujaribu kutafuta tiba ya virusi hivyo.