Habari za Global Newsbeat 1500 24/07/2017

Utafiti umebaini kwamba wanawake wengi ambao hubeba ujauzito hawatambui ni vyakula gani wanavyostahili kula.

Je, wewe wafahamu wanawake hao wanastahili kula vyakula gani?

Tujadiliane kwenye facebook bcsswahili.com