Ufaransa yapambana na moto wa msituni

A firefighting aircraft attmpts to douse the forest fire in Carros near Nice, southern France, 24 July 2017.

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha,

Ndege ya kuzima moto ikijaribu kuzima moto eneo la Carros

Hali isiyotarajiwa ya upepo, joto na kiangazi kikali Kusini Mashariki mwa Ufaransa, imechangia kuenea kwa kasi kwa moto wa msituni, kote katika eneo hilo.

Wazima moto 600 wanakabiliana na moto huo ambao ulianza Jumatatu asubuhi, katika mbuga moja ya kitaifa ya wanyama pori, iliyoko katika jimbo la Luberon, na kufikia sasa moto huo unateketeza eneo la ukubwa wa kilomita 8 mraba.

Mamia ya watu wamehamishwa kama njia ya kuchukua tahadhari

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha,

Mzima moto eneo la Carros

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha,

Uharibifu uliosabishwa na moto eneo laPréalpes d'Azur

Chanzo cha picha, AFP / Getty Images

Maelezo ya picha,

Moto wa msituni

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

Moto ukiwaka eneo la Biguglia