Habari za Global Newsbeat 1000 25/07/2017

Habari za Global Newsbeat 1000 25/07/2017

Wanamuziki wawili walioimba wimbo maarufu wa Kilatin Despacito, wamemkosoa Rais wa Venezuela Nicolas Maduro, kwa kutumia mtindo wa wimbo wao kupigia debe bunge lenye utata, litakalochaguliwa siku ya Jumapili, ili litumike kuandika upya katiba ya nchi hiyo.