Habari za Global Newsbeat 1500 25/07/2017

Habari za Global Newsbeat 1500 25/07/2017

Klabu ya West Ham imekamilisha usajili wa pauni milioni 16 kwa mshambuliaji Javier Hernandez kutoka Ujerumani. Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United amesaini mkataba wa miaka mitatu.