Habari za Global Newsbeat 1000 26/07/2017

Habari za Global Newsbeat 1000 26/07/2017

Mwanamume mmoja ambaye amekuwa akishiriki biashara ya uuzaji wa mihadarati na kujikusanyia mamilioni ya pesa huko New York na hatimaye kukamatwa ameelezea jinsi anavyojutia kuhusika na biashara hiyo.