Habari za Global Newsbeat 1500 26/07/2017

Mwenyekiti wa klabu ya Tottenham Daniel Levy, ameitetea klabu hiyo kwa kukosa kumsajili mchezaji yoyote katika msimu huu wa majira ya joto. Lakini Spurs wamemuuza Kyle Walker kwa Manchester City kwa kitita cha pauni milioni 45 mwezi huu.