Ubunifu wa asili
Ubunifu wa asili
Christina James ni mwanamke mjasiliamali wa Kitanzania aliyebuni utengenezaji wa Sabuni ya kuoshea vyombo kwa kutumia majivu yatokanayo na moto wa kuni au mkaa.
Omary Mkambara alimtembelea mjasiliamali huyo huko wilayani Chemba katika mji mkuu wa Tanzania,Dodoma na kutaka kujua anatengeneza vipi sabuni hiyo.