Makovu ya vurugu za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007/08 bado yanamwandama Pamela Aoko

Makovu ya vurugu za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007/08 bado yanamwandama Pamela Aoko

Makovu ya vurugu za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007/08 bado yanamwandama Pamela Aoko. Alipigwa risasi kimakosa katika eneo la Mashimoni katika kitongoji duni cha Kibera, risasi ambayo ilibadilisha maisha yake.

Taarifa na video ya Anthony Irungu