Wasanii wanaohubiri amani wakati huu wa uchaguzi Kenya

Wasanii wanaohubiri amani wakati huu wa uchaguzi Kenya

Wasanii maarufu Kenya wamejitokeza wazi kutangaza misimamo yao ya kisiasa katika uchaguzi wa Agosti nane.

Hata hivyo, wengine wanhubiri amani na maamuzi ya busara wakati wa kura.

Sharon Alai aka MC Sharon ni miongoni mwa wasanii wanaohubiri amani.

Taarifa na video ya Anthony Irungu