Watu kadhaa waokolewa baada ya magari ya angani kukwama Ujerumani

Firefighters assess the damage caused after a cable car struck a pillar in Cologne, Germany, 30 July 2017 Haki miliki ya picha EPA
Image caption Watu kadhaa waokolewa baada ya magari ya angani kugongana

Watu kadhaa walibaki wamekwama hewani baada ya gari la angani la kutumia nyaya kugonga nguzo na kusimama juu wa mto Rhine nchini Ujerumani.

Wazima moto na makundi ya waokoaji mjini Cologne walitumia kreni kuwafikia abiria 75 waliokuwa wamekwama baadhi ambao waliripotiwa kuwa umbalia wa hadi mita 40 angani.

Picha zilionyesha watoto wakishushwa ardhini lakini hakuna majeruhi walioripotiwa.

Magari yote 32 yaliyokuwa yakihudumu waki huo yalisimama wakati ajali ilitokea.

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Picha zilionyesha watoto wakishushwa ardhini lakini hakuna majeruhi walioripotiwa.
Haki miliki ya picha EPA
Image caption Wazima moto na makundi ya waokoaji mjini Cologne walitumia kreni kuwafikia abiria 75 waliokuwa wamekwama

Mada zinazohusiana

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii