Habari za Global Newsbeat 1000 31/07/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 31/07/2017

Timu ya taifa ya England upande wa wanawake imetinga nusu fainali za Euro 2017 kwa kuwachapa wanawake wa Ufaransa kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 43. Dakika ya 60 mwanadada Jodie Taylor alipojikunja na kutupia mkwaju nyavuni.