Habari za Global Newsbeat 1500 31/07/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 31/07/2017

Magari yasiokuwa na madereva kwa sasa ni jambo geni kwa watu wengi lakini katika siku zijazo magari hayo yatatumika kwa kiwango kikubwa. Magari hayo yanatarajiwa kuleta sheria mpya za barabarani.