Jamii Tanzania inasaidia kumaliza utamaduni wa kuwarithi wajane?

Jamii Tanzania inasaidia kumaliza utamaduni wa kuwarithi wajane?

Haba na Haba inazungumza juu ya baadhi ya jamii zimekuwa na utaratibu wa kurithisha wajane.

Je, jamii inafanya vya kutosha kupinga wajane kurithiwa?